Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akimsikiliza Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Fatma Karume (Kulia), aliyeongozana na wajumbe wake wawili Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam leo kwa lengo la Kujitambulisha na pia kujadiliana masuala mbalimbali ya kisheria.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Fatma Karume (Kulia), wakati alipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hiIGP SIRRO AKUTANA NA BALOZI WA UFARANSA NCHINI
lo jijini Dar es salaam leo kwa lengo la kujitambulisha tangu alipochaguliwa kuwa Rais wa Chama hicho na pia kujadiliana masuala mbalimbali ya kisheria.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Frederic Clavier (katikati), alipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es salaam leo, ambapo balozi huyo imeahidi kuendelea kushirikiana na Jeshi hilo kwenye masuala mbalimbali ya kiusalama. Picha na Jeshi la Polisi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...