Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na wenye ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza wakati wa uzinduzi wa mdahalo wa kitaifa wa kujadili ushirikishwaji wa jamii katika uwekezaji  ndani ya nchi ili kuchangia ajenda ya viwanda uliofanyika leo Jijini Dodoma.Kulia kwake ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Tasisi ya Uongozi  Prof Joseph Semboja,Nlanla Gumede kutoka Afrika Kusini na Katibu Mtendaji Baraza la Taifa la Uwezeshaji  wananchi kiuchumi Bi.Beng’i Issa. 
 Afisa Mtendaji Mkuu wa Tasisi ya Uongozi  Prof Joseph Semboja akizungumza kabla ya kukaribisha mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa mdahalo wa kitaifa wa kujadili ushirikishwaji wa jamii katika uwekezaji  ndani ya nchi ili kuchangia ajenda ya viwanda uliofanyika leo Jijini Dodoma..Kulia kwake, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge,Kazi, Vijana, Ajira na wenye ulemavu Mhe.Jenista Mhagama Nlanla Gumede kutoka Afrika Kusini na Katibu Mtendaji Baraza la Taifa la Uwezeshaji wananchi kiuchumi Bi.Beng’i Issa.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na wenye ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akiteta jambo  na Afisa Mtendaji Mkuu wa Tasisi ya Uongozi  Prof Joseph Semboja wakati wa uzinduzi wa mdahalo wa kitaifa wa kujadili ushirikishwaji wa jamii katika uwekezaji  ndani ya nchi ili kuchangia ajenda ya viwanda uliofanyika leo Jijini Dodoma.
 Katibu Mtendaji Baraza la Taifa la Uwezeshaji  wananchi kiuchumi Bi.Beng’i Issa Akizungumzia umuhimu wa mkakati wa ushirikishwaji wa jamii katika uwekezaji  ndani ya nchi ili kuchangia ajenda ya viwanda uliofanyika leo Jijini Dodoma.
 Wadau wa mdahalo wa kitaifa wa kujadili ushirikishwaji wa jamii katika uwekezaji  ndani ya nchi ili kuchangia ajenda ya viwanda  wakisikiliza hotuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na wenye ulemavu Mhe.Jenista Mhagama wakati akizindua mdahalo huo leo Jijini Dodoma.
Picha zote na Daudi Manongi,Dodoma.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...