Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akihakiki majina katika kijiji cha Nakawale halmashauri ya wilaya ya Songea mkoani Ruvuma wakati wa ziara yake ya kuhakiki uhawilishaji ardhi katika vijiji vya Nakawale na Lilahi Peramiho mkoa wa Ruvuma. Aliyevaa kofia ni mwenyekiti wa kijiji cha Nakawale Ally Paswere na kulia ni Mtendaji wa Kata ya Muhukuru halmashauri ya Songea Rajabu Issa Ajida
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akizungumza na wananchi wa kijiji cha Nakawale halmashauri ya wilaya ya Songea mkoani Ruvuma wakati wa ziara yake ya kuhakiki uhawilishaji ardhi katika vijiji vya Nakawale na Lilahi Peramiho mkoa wa Ruvuma.
Kaimu Kamishna wa ardhi vijijini kutoka Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Kokula Shenkumba akitoa elimu ya uhawilishaji ardhi kwa wananchi wa kijiji cha Nakawale Peramiho wilaya ya Songea mkoa wa Ruvuma.
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Songea Rajabu Kiula akizungumza wakati naibu waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Angelina mabula alipokwenda kuhakiki uhawilishaji ardhi katika kijiji Nakawale Peramiho mkoani Ruvuma.
Baadhi ya wananchi wa wa kijiji cha Nakawale Peramiho wilaya ya Songea mkoa wa Ruvuma wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula (hayupo pichani) wakati wa uhakiki wa uhawilishaji ardhi ya kijiji hicho.
Wajumbe wa halmashauri ya Kijiji cha Lilahi Peramiho Wilaya ya Songea mkoa wa Ruvuma wakitambulishwa kwa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula wakati ziara ya uhakiki wa uhawilishaji ardhi ya kijiji.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...