Mhasibu Mwezeshaji OR TAMISEMI, Melkizedeki Kimaro, akiwasilisha
mada kuhusu mchakato wa Imprest kwakutumia mfumo wa Uhasibu na utoaji wa
taarifa wa (Epicol) kwenye ukumbi wa Victoria Palace Jijini Mwanza.
Mmoja ya Wawezeshaji wa mafunzo ya mfumo wa Uhasibu
na utoaji wa taarifa (Epicol 10.2) kutoka OR TAMISEMI, Stanslaus Msenga, akiwa anatoa msaada
wa kiufundi kwa mmoja ya wahasibu wakati wa mafunzo hayo yanayoendelea
kwa siku ya tatu.
Watunza Hazina na Wahasibu kutoka katika Halmashauri za Mikoa ya Mwanza
na Simiyu wakiwa wanafatilia kwa ufasaha mafunzo ya Uhasibu na utoaji taari
kwa njia ya kieletroniki (Epicol) wakifatilia kwa makini mafunzo hayo.
Kaimu Mweka Hazina wa Halmashauri ya Meatu, Laurent Mguma, akifanya
nukuu muhimu za mafunzo hivi leo kuhusu mfumo wa Epicol, kama alivyokutwa
na Kamera yetu kwenye ukumbi wa Viktoria Palace.
Washiriki wakiwa makini kuhakikisha mara baada ya mafunzo wanaanza
kutumia vema mfumo wa Uhasibu na utoaji wa tarifa.
Washiriki wakiwa makini kuhakikisha mara baada ya mafunzo wanaanza kutumia
vema mfumo wa Uhasibu na utoaji wa tarifa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...