Mganga Mkuu wa Serikali Profesa Mohamed Bakari akizungumza katika hafla ya kuwatunukia wanafunzi Kidato cha Nne na cha Tano waliofanya vizuri kitaifa katika masomo ya Sayansi, Baioloji na Kemia iliyofanyika kwenye makao makuu ya Mamlaka ya Maabara ya  Mkemia Mkuu wa Serikali barabara ya Barack Obama jijini Dar es salaam.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Maabara  ya Mkemia mkuu wa Serikali Profesa Esther Hellen Jason akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika makao makuu ya mamlaka hiyo jijini Dar es salaam.
Mkemia Mkuu wa Serikali  Dk Fidelice Mafumiko  akizungumza na kutoa maelezo kadhaa wakati wa kuwatunikia zawadi wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo ya Sayansi, Kemia na Baioloji katika hafla iliyofanyika jijini Dar es salaam.
 Picha mbalimbali zikionyesha wanafunzi wakipokea vyeti na zawadi katika hafla hiyo.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...