Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora anayeshughulikia (Sera na Uratibu) akimkaribisha Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania Wang Ke alipowasili  katika Ofisi yake Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Juni,2018.
 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu) akifafanua jambo katika kikao na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Tanzania Wang Ke kilichofanyika katika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Juni, 2018.
 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu) akimsikiliza Balozi wa China nchini Tanzania Wang Ke akielezea jambo wakati wa mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi ya Waziri  Mkuu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Juni,2018
 Balozi wa Jamhuri ya watu wa China Tanzania Wang Ke akitia saini katika kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es salaam. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu).
 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (sera na Uratibu) katika picha ya pamoja na Balozi wa China nchini Tanzania Wang Ke baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisi kwake Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustin Kamuzora (Sera na Uratibu) katika picha ya pamoja na Balozi wa China nchini Tanzania Wang Ken na wajumbe walioshiriki katika mazungumzo hayo Ofisi Jijini Dare s Salaam arehe 11 Juni, 2018

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...