Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa wa nne
kulia akikata utepe kuzindua majengo ya Taasisi ya Elimu ya Afya Mvumi
yaliyojengwa kupitia ufadhili wa Mfuko wa Dunia wa kupambana na Ukimwi,
Kifua Kikuu na Maralia (Global Fund) uliofanyika leo jijini Dodoma na
wanne kutoka kushoto ni Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee
na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa wa Tatu kulia akizindua majengo ya Taasisi ya Elimu ya Afya Mvumi yaliyojengwa kupitia ufadhili wa Mfuko wa Dunia wa kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Maralia (Global Fund) uliofanyika leo jijini Dodoma, wa pili kulia ni Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kulia
akipokea cheti cha umalizaji wa ujenzi wa majengo ya Taasisi ya Elimu ya
Afya Mvumi kutoka kwa Waziri wa Afya,Maendeleo ya amii,Jinsia,Wazee na
Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakati wa uzinduzi wa majengo hayo uliofanyika
leo jijini Dodoma.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa mwenye
suti ya bluu akikagua baadhi ya sehemu za majengo ya Taasisi ya Elimu ya
Afya Mvumi baada ya kuzindua majengo hayo yaliyojengwa kupitia ufadhili
wa Mfuko wa Dunia wa kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Maralia
(Global Fund) yaliyozinduliwa leo jijini Dodoma.
aadhi ya viongozi na wananchi wa Mvumi wilayani Chamwino waliojitokeza kumsikiliza na kushuhudia uzinduzi wa Majengo ya Taasisi ya Elimu ya Afya Mvumi yaliyojengwa kupitia ufadhili wa Mfuko wa Dunia wa kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu na Maralia (Global Fund) uliofanya na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa leo jijini Dodoma.PICHA NA WIZARA YA AFYA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...