Ukiwa  mzalendo wa ukweli ni wakati wako sasa wa kuipigia kura na kuiwezesha bendi pendwa ya Ngoma Africa Band alimaarufu kwa majina kama FFU-Ughaibuni au "Viumbe wa Ajabu Anunnaki aliens " chini ya Kamanda Mtanzania Ephraim Makunja a.k.a. Ras Makunja ambao kwa mara nyingine wameteuliwa kugombea TUZO ya kimataifa barani ulaya, unaombwa kuiwezesha  kwa kuipigia kura bendi hiyo  kwa kubofya link hiyo hapo chini halafu piga kura kwa kugonga Ngoma Africa band. Inachukua sekunde tatu tu!!
Kupiga kura BOFYA HAPO CHINI
http://www.afrikafestival.net/home/click-vote

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...