Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola(wapili kutoka kushoto), akimsikiliza Mchapaji wa nyaraka mbalimbali zinazotumiwa na Idara ya Uhamiaji,Enos Lwinga, wakati alipotembela kiwanda cha uchapaji nyaraka hizo kilichopo Mtoni Kijichi, jijini Dar es Salaam.Wakwanza kushoto ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dk. Anna Makakala .Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akikagua  nyaraka mbalimbali zinazotumiwa na Idara ya Uhamiaji,  alipotembela kiwanda cha uchapaji nyaraka hizo kilichopo Mtoni Kijichi, jijini Dar es Salaam.Kulia  ni  Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dk. Anna Makakala
 Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dk. Anna Makakala, akifafanua jambo kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola(kushoto), wakati waziri alipotembela kiwanda cha uchapaji nyaraka hizo kilichopo Mtoni Kijichi, jijini Dar es Salaam .Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mtumishi wa Idara ya Uhamiaji ,Eva Kikoti  akifafanua jambo kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto), wakati waziri alipotembela kiwanda cha uchapaji nyaraka hizo kilichopo Mtoni Kijichi, jijini Dar es Salaam . Kulia  ni  Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dk. Anna Makakala.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...