Rais Mstaafu wa Marekani Mhe. Barack Obama akilakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa ya Kilimanjaro (KIA) akitokea Hifadhi ya Taifa ya wanyama ya Serengeti mkoani Mara alikotalii yeye na familia yake kwa muda wa siku nane, kabla ya kuelekea Afrika Kusini kwenye maadhimisho ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa Nelson Mandela ambako atahutubia kwenye sherehe hizo. Kabla ya kwenda Afrika Kusini atapitia Kenya kwa shughuli mbalimbali kwa siku mbili.
Rais Mstaafu wa Marekani Mhe. Barack Obama akipewa zawadi na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa ya Kilimanjaro (KIA) akitokea Hifadhi ya Taifa ya wanyama ya Serengeti mkoani Mara.

Rais Mstaafu wa Marekani Mhe. Barack Obama akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Mghwira mara baada ya kulakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga (pichani kushoto), alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa ya Kilimanjaro (KIA) akitokea Hifadhi ya Taifa ya wanyama ya Serengeti mkoani Mara.
Rais Mstaafu wa Marekani Mhe. Barack Obama akisalimiana na Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ACP Hamisi Issa mara baada ya kulakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga (pichani kushoto), alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa ya Kilimanjaro (KIA) akitokea Hifadhi ya Taifa ya wanyama ya Serengeti mkoani Mara.


 Rais Mstaafu wa Marekani Mhe. Barack Obama akisalimiana na Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro,Mhandisi Aisha Amour baada ya kulakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa ya Kilimanjaro (KIA) akitokea Hifadhi ya Taifa ya wanyama ya Serengeti mkoani Mara
 Rais Mstaafu wa Marekani Mhe. Barack Obama akiongea na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga wakati akisindikizwa kuondoka uwanja wa ndege wa kimataifa ya Kilimanjaro (KIA) akitokea Hifadhi ya Taifa wanyama ya Serengeti mkoani Mara.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...