Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimkabidhi mbunge wa Bukene, Selemani Zedi (kushoto) mifuko 50 ya saruji iliyotolewa na Mbunge wa Viti  Maalum mkoa wa Tabora kupitia  CCM, Munde Tambwe  (wapili kushoto ) baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Taifa wa Bukene wilayani Nzega  Agosti 17, 2018 saruji hiyo imetolewa kwa jimbo la Bukene ili isaidie katika ujenzi wa miundombinu ya  huduma za  jamii jimboni humo. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya wananchi baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Taifa wa Bukene wilayani Nzega, Agosti 17, 2018. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...