Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi Alinikisa Cheyo, aliyeongoza ujumbe wa viongozi wapya wa Jumuiya hiyo kumtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) Dkt. Fredrick Shoo wakati ujumbe wa viongozi wakuu wa Jumuiya hiyo ulipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) Dkt. Jacob Chimeledya wakati ujumbe wa viongozi wakuu wa Jumuiya hiyo ulipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa watika mazungumzo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania, Alinikisya Cheyo, Makamu Mwenyekiti wa Kwanza wa Jumuiya hiyo Dkt. Fredrick Shoo, Makamu wa Pili wa Mwenyekiti Dkt. Jacob Chimeledya na Katibu Mkuu wa CCT Canon Moses Matonya ujumbe huo viongozi wapya wa jumuiya hiyo ulipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania, Alinikisa Cheyo, Makamu Mwenyekiti wa Kwanza wa Jumuiya hiyo Dkt. Fredrick Shoo, Makamu wa Pili wa Mwenyekiti Dkt. Jacob Chimeledya  na Katibu Mkuu wa CCT Canon Moses Matonya baada ya ujumbe wa viongozi hao kumtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...