Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika  sala na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga (wa pili kushoto), Makamu wa Rais wa Baraza lhilo Dkt. Flavian Kasalla (kulia) na Katibu Mkuu wa TEC Dkt. Charles Kitima (kushoto) viongozi hao wapya wa kanisa Katoliki walipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga, Makamu wa Rais wa Baraza lhilo Dkt. Flavian Kasalla wakiwa na Katibu Mkuu wa TEC Dkt. Charles Kitima viongozi hao wapya wa kanisa walipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga baada ya kukutana naye pamoja na Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Dkt. Flavian Kasalla (kulia) na Katibu Mkuu wa Baraza hilo Dkt. Charles Kitima (kushoto) baada ya viongozi hao wapya wa kanisa Katoliki kumtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Dkt. Charles Kitima akiwa na Rais wa Baraza hilo Askofu Gervas John Nyaisonga na Makamu wa Rais wa Baraza hilo Dkt. Flavian Kasalla viongozi hao wapya wa kanisa walipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018.
 Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga (kati ), Makamu wa Rais wa Baraza lhilo Dkt. Flavian Kasalla (kulia) na Katibu Mkuu wa TEC Dkt. Charles Kitima (kushoto) wakiongea na wanahabari baada ya viongozi hao wapya wa kanisa Katoliki kumtembelea na kujitambulisha kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...