Mkuu wa Kitengo cha Mwendelezo wa Biashara ya M-Pesa, Vodacom Tanzania Plc,Polycarp Ndekana (Kulia ) akiongea kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wakati wa uzinduzuzi wa huduma mpya na ya kwanza nchini inayomwezesha mwananchi kufanya miamala ya malipo kwa mfumo wa serikali wa Kielektroniki  kwa kupitia Huduma ya M-Pesa APP QR  zaidi ya taasisi za serikali 150 zimesha anza kupokea malipo kwa njia ya huduma  hiyo kwa kupiga *150*00#  wanaoshuhudia kutoka kushoni  Mhasibu wa Fedha  wa RITA, Audiface Cresence  na Afisa Mwandamizi wa Tehama  Wizara ya Fedha , Benard Mabagala.
 Mkuu wa Kitengo cha Mwendelezo wa Biashara ya M-Pesa, Vodacom Tanzania Plc,Polycarp Ndekana (Kulia ) akiwaonyesha  waandishi wa habari jijini Dar es Salaam,(hawapo pichani) jinsi ya kujiunga na huduma ya malipo kwa njia ya mtandao wakati wa uzinduzuzi wa huduma mpya na ya kwanza nchini inayomwezesha mwananchi kufanya miamala ya malipo kwa mfumo wa serikali wa Kielektroniki  kwa kupitia Huduma ya M-Pesa APP QR  zaidi ya taasisi za serikali 150 zimesha anza kupokea malipo kwa njia ya huduma  hiyo kwa kupiga *150*00#  wanaoshuhudia kutoka kushoni  Mhasibu wa Fedha  wa RITA, Audiface Cresence  na Afisa Mwandamizi wa Tehama  Wizara ya Fedha , Benard Mabagala. 
Mkuu wa Kitengo cha Mwendelezo wa Biashara ya M-Pesa, Vodacom Tanzania Plc,Polycarp Ndekana (kushoto) akimsikiliza Mhasibu wa Fedha  wa RITA, Audiface Cresence (kulia)  wakati akiongea kwa waandishi wa haabari, wakati wa uzinduzuzi wa huduma mpya na ya kwanza nchini inayomwezesha mwananchi kufanya miamala ya malipo kwa mfumo wa serikali wa Kielektroniki  kwa kupitia Huduma ya M-Pesa APP QR  zaidi ya taasisi za serikali 150 zimesha anza kupokea malipo kwa njia ya huduma  hiyo kwa kupiga *150*00#.
 Mkuu wa Kitengo cha Mwendelezo wa Biashara ya M-Pesa, Vodacom Tanzania Plc,Polycarp Ndekana (katikati ) Mhasibu wa Fedha  wa RITA, Audiface Cresence (Kushoto) na Afisa Mwandamizi wa Tehama  Wizara ya Fedha , Benard Mabagala wakiwaonyesha waandishi wa habari jijini Dar es Salaam (hawapo pichani) vipeperushi vinavyoonyesha   jinsi ya kujiunga na huduma ya malipo kwa njia ya mtandao wakati wa uzinduzuzi wa huduma mpya na ya kwanza nchini inayomwezesha mwananchi kufanya miamala ya malipo kwa mfumo wa serikali wa Kielektroniki  kwa kupitia Huduma ya M-Pesa APP QR  zaidi ya taasisi za serikali 150 zimesha anza kupokea malipo kwa njia ya huduma  hiyo kwa kupiga *150*00#

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...