Mkurugenzi Mtendaji wa AllyRich Sanaa Arts LTD Aliko Richard akizungumza na wageni mbalimbali na wakazi wa mkoa wa  Mbeya aliowalika kushuhudia wazo la Ndoto yake ya Niache Nichore katika Ukumbi wa Tughimbe Jijini Mbeya.
 Mkurugenzi wa Parick Mission Ndele Mwaselela akizungumza na wadau juu ya umuhimu wa kutumia maharifa tuliyopata kwa faida ya jamii kama alivyofanya Ally Rich.
 Mratibu wa Ndoto ya Ally RICH ya Niache Nichore, Mc Mwakyusa akizungumzia kwa upana juu ya umuhimu wa ndoto hiyo katika kizazi kijacho kwenye taaluma ya uchoraji na ubunifu.
 Mchoraji Mkongwe mkoani Mbeya , Furaha Mwaibandi akizungumzia uzoefu wake katika uchoraji na umuhimu wa jamii kuthamini Sanaa ya uchoraji.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>>>

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...