Mtaalam wa ndege tiara kutoka kampuni ya China TOPRS Tech Limited, Yu Jing Run akiiandaa ndege tiara tayari kwa kuirusha katika viwanja vya Chuo Kikuu Ardhi (ARU) Septemba 12 2018, wakati wa uzinduzi wa ndege hiyo itakayokusanya taarifa na upimaji ramani. Wanaoshuhudia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Evaristo Liwa (wa tatu kushoto), Naibu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (Taaluma), Profesa Gabriel Kassenga na wana taaluma mbalimbali.
Mhandisi upimaji ramani wa kampuni ya China TOPRS Tech Limited, Ren Ya Feng akitoa muhtasari wa jinsi ndege tiara inavyofanya kazi muda mfupi kabla ya kuirusha kwa upigaji picha jijini cha Dar es Salaam Septemba 12 2018. Katikati ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), Profesa Evaristo Liwa, Naibu Mkuu wa chuo Kikuu Ardhi (Taaluma), Profesa Gabriel Kassenga (Kushoto Makamu Mkuu) na wana taaluma mbalimbali.
This comment has been removed by the author.
ReplyDeleteGleam Company Limited inafanya upimaji kama huo kwa kutumia hizi ndege zisizo na rubani toka mwaka 2015. Tulishajitolea kuwapimia halmashauri ya Bwilingu (Chalinze) na tukawapa data bure. Tunawakaribisha sana idara mbali mbali za serikali, mashirika na watu binafsi kutumia ujuzi na utalaam wa ndani, na kushabikia uwezo wa Watanzania sio mara zote watu wa nje wakileta Teknoalojia ndio waonekane wa maana, watanzania hata wakiomba kuonyesha tu kwa viongozi ili waone uwezo hawataki, hatuwezi kuebndelea kwa staili hiyo.
ReplyDelete