Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu mhamila 'Super D' katikati akiwainua mikono juu mabondia Georger Dimoso kushoto na Abdallah Pazi 'Dula Mbabe' baada ya kupima uzito kwa ajili ya kuzipiga leo Jumamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dar es salaam.
Mabondia Georger Dimoso kushoto akitambiana na Abdallah Pazi 'Dula Mbabe' baada ya upimaji wa uzito na Afya kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa.
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwatambulisha mbele ya wahandishi wa habari mabondia Saidi Bakari 'Kidedea' kushoto na Vicent Mbilinyi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi ya Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa.
Mabondia Saidi Bakari 'Kidedea' kushoto akitunishiana misuli na Vicent Mbilinyi baada ya kumaliza kupima uzito katikati ni Promota Rajabu Mhamila 'Super D baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi ya Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa.
Promota wa mpambano wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwainua mikono juu mabondia Frank John kushoto na Bakari Mbede baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika katika uwanja wa ndani wa Taifa siku ya jymamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa.
Bondia Frank John kushoto akitunishiana misuli na Bakari Mbede wakati wa kupima uzito kwa mabondia hawo watazipiga siku ya jumamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa.
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu mhamila 'Super D' katikati akiwainua mikono juu mabondiaImani Mapambano kushoto na Paul Kamata baada ya kupima uzito kwa ajili ya kuzipiga kesho jumamosi Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa.
Mabondia Imani Mapambano kushoto akitambiana na Paul Kamata baada ya upimaji wa uzito na Afya kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Septemba 15 katika uwanja wa ndani wa Taifa.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...