Magari yakipita kwa ajili majaribio leo (Jumamosi Septemba 15, 2018) katika barabara za juu (flyover) ya Mhandisi Patrick Mfugale lililopo eneo la Tazara Jijini Dar es Saalam ambalo hivi karibuni linatarajiwa kufunguliwa rasmi na na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.
 Magari yakiendelea kupita kwa ajili majaribio leo (Jumamosi Septemba 15, 2018) katika barabara za juu (flyover) ya Mhandisi Patrick Mfugale lililopo eneo la Tazara Jijini Dar es Saalam 
Magari yakipita juu na chini katika barabara za juu (flyover) ya Mhandisi Patrick Mfugale lililopo eneo la Tazara Jijini Dar es Saalam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...