Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Dodoma Mjini ambaye pia
na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde wakati
alipowasili kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kushuhudi mechi ya
kirafiki kati ya Namungo FC ya Ruangwa na Dodoma FC, Septemba 16, 2018.
Timu hizo zilitoka suluhu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rashidi Mpemba (kushoto) wa Dodoma FC na Bruno John wa Namungo FC wakiwania mpira katika mechi ya kirafiki iliyochezwa kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu.
Rashidi Mpemba (kushoto) wa Dodoma FC akimiliki mpira huku akizongwa na Bruno John wa Namungo FC katika mechi ya kirafiki iliyochezwa kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu.
Zahoro Pazi wa timu ya Dodoma FC (kulia) akimtoka Luka Kikoti wa Namungo FC katika mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu.
Rashidi Mpemba (kushoto) wa Dodoma FC na Bruno John wa Namungo FC wakiwania mpira katika mechi ya kirafiki iliyochezwa kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji na
viongozi wa timu ya mpira wa miguu ya Namungo FC ya Ruangwa na Dodoma
FC baada ya mchezo wa kirafiki kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma,
Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...