Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisis ya Kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU)  Kamishna wa Polisi  Diwani Athumani (katikati) alipofika kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar akifuatana na Mkurugenzi wa Mamlaka ya kuzuia Rushwa na uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) Ndg. Mussa Hassan Ali.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna wa Polisi  Diwani Athumani alipofika kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na  Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna wa Polisi  Diwani Athumani baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar alipofika kujitambulisha. (Picha na Ikulu).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...