Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Sheria Mtemi Andrew Chenge akiwasilisha Hoja ya Kamati kuhusu maboresho ya sheria mbalimbali wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.
  Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akijibu swali wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.
 Mbunge wa Kuteuliwa Mhe. Salma Kikwete akiuliza swali la nyongeza wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.
 Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi, Dkt. Agustine Mahiga (kulia) wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.
 Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Kamishna Diwani Athmani akitambulishwa wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenyeulemavu, Jenista Mhagama akiteta jambo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi pamoja na Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...