Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda akizungumza na Wakazi wa Kimara
mara baada ya kutembelea kituo cha Mabasi ya Mwendokasi na kujionea
kero na changamoto za mradi huo na kuahidi kwenda kuzungumza na Waziri
wa Tamisemi, Suleimani Jaffo ili kulitafutia ufumbuzi wa haraka.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda akitembelea eneo la kituo na kujionea Changamoto zilizopo
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Paul Makonda , akifungua geti lililofungwa eneo la Kimara Mwisho Wananchi wasipite na kuamuru litumike kuanzia leo ili kiupunguza kero kwa Wananchi
Wananchi waliokuwa wamefurika eneo la Kimara kusubiri Mabasi ya Mwendokasi asubuhi ya leo.
Abiria wakiwa wamebanana ndani ya basi la Mwendokasi kutokana na uchache wa mabasi
Wakazi wa Mbezi na Kimara wakiwa wamejazana kumsikiliza mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam eneo la Kimara Mwisho

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...