Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU e.V) kwa masikitiko makubwa tunawataarifu kifo cha Mtanzania mwenzetu   Kondo mohamed Msumi  ambaye alikuwa akiishi  Bochum,nchini ujerumani.
  Marehemu Kondo Mohamed Msumi amefariki usiku wa kuamikia Oktoba 3, 2018 akiwa hospitalini akipatiwa matibabu. 
Kamati ya Umoja  wa Watanzania Ujerumani UTU e.V imewasiliana na ndugu wa marehemu waliopo Ujerumani na Tanzania  Tumeazimia kupitisha michango  ili  kutuwezesha kufanikisha  mazishi ya ndugu yetu, bado hatujajua kwamba tutazika hapa Ujerumani au tutasafirisha, tutawaletea taarifa zaidi kadiri tunavyozipata.
  Kamati imechagua Rafiki  wa karibu na familia ya Kondo ili kupokea michango hiyo. Michango yote ipitishwe kwenye acc ifuatayo.

Gls Bank, 
Jafari Juma Mazangwi. 
IBAN:DE15 4306 0967 4046 5996 00.
Bic: GENODEM1GLS.

Tunawaomba watanzania wote  kutoa michango kwa wingi ili kumuhifadhi ndugu yetu marehemu Kondo Mohamed Msumi Asanteni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...