Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Balozi mpya wa Kuwait nchini Mhe. Mubarak Mohammed Faleh ALSEHAIJAN aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais Kilimani jijini Dodoma kwa lengo la kujitambulisha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi mpya wa Kuwait nchini Mhe. Mubarak Mohammed Faleh ALSEHAIJAN aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais Kilimani jijini Dodoma kwa lengo la kujitambulisha. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi mpya wa Kuwait nchini Mhe. Mubarak Mohammed Faleh ALSEHAIJAN aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais Kilimani jijini Dodoma kwa lengo la kujitambulisha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Balozi mpya wa Kuwait nchini Mhe. Mubarak Mohammed Faleh ALSEHAIJAN aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais Kilimani jijini Dodoma kwa lengo la kujitambulisha.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...