Meneja Huduma za Kibenki kwa njia ya Kidigitali wa Barclays Tanzania, Jesse Jackson (kushoto), na Mkuu wa Mtandao wa Matawi wa benki hiyo, John Beja (kulia), wakikabidhi zawadi ya television kwa Bi. Bright Mwanga mmoja wa washindi wa kampeni inayoendelea ya benki hiyo iliyopewa jina la ‘Tap Tap and Win’ inayohamasisha wateja kutumia huduma za kibenki kwa njia ya kidigitali. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana.
Mshindi wa kampeni ya huduma za kidigitali wa Benki ya Barclays, Bi. Bright Mwanga (kushoto), akizungumza katika hafla hiyo. Kushoto kwake ni, Meneja Huduma za Kibenki kwa njia ya Kidigitrali wa benki hiyo, Jesse Jackson (kushoto) na Mkuu wa Mtandao wa Matawi wa benki hiy, John Beja. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Mkuu wa mtawi.
Waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakirekodi tukio hilo. Kampeni ya huduma za kibenki kwa njia za kidigitali inahamasisha wateja kutumia huduma za kibenki kwa njia za kidigitali. Anayezungmza katikakati ni Meneja Huduma za Kibenki kwa njia ya Kidigitali wa Barclays, Jesse Jackson.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...