Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Ramadhani Kailima akizungumza
na Kamishna Jenerali wa Magereza nchini Phaustine Kasike alipotembelea Makao Makuu ya
Jeshi la Magereza leo Novemba 5, 2018 jijini Dar es Salaam.
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini Phaustine Kasike akiagana na Naibu Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Ramadhani Kailima leo Novemba 5, 2018 alipotembelea
Makao Makuu ya Jeshi la Magereza(Picha na Jeshi la Magereza).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...