Watoto wa marehemu Regina na Abdiel Mengi wakiingia kanisani katika ibada ya kuaga mwili wa marehemu Mama Mercy Anna Mengi katika kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam leo Novemba 8, 2018. Rais Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli walishiriki 
 Jeneza lenye mwili wa marehemu likiingizwa kanisani katika ibada ya kuaga mwili wa marehemu Mama Mercy Anna Mengi katika kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam leo Novemba 8, 2018. Rais Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli walishiriki 
 Rais Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa heshima zao za mwisho kwa  mwili wa marehemu Mama Mercy Anna Mengi katika kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam leo Novemba 8, 2018.
Rais Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwapa pole wafiwa baada ya kutoa heshima zao za mwisho kwa  mwili wa marehemu Mama Mercy Anna Mengi katika kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam leo Novemba 8, 2018.

 Rais John Pombe Magufuli akiongea machache aliposhiriki yeye na mkewe Mama Janeth Magufuli  katika ibada ya kuaga mwili wa marehemu Mama Mercy Anna Mengi katika kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam leo Novemba 8, 2018.
 Rais John Pombe Magufuli akimpa pole Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dkt. Reginald Mengi baada ya kuongea machache aliposhiriki katika ibada ya kuaga mwili wa marehemu Mama Mercy Anna Mengi katika kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam leo Novemba 8, 2018.
Rais John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa baada ya kushiriki  katika ibada ya kuaga mwili wa marehemu Mama Mercy Anna Mengi katika kanisa la Azania Front jijini Dar es salaam leo Novemba 8, 2018.  Picha na IKULU
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...