Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea fursa za ufadhili wa masomo ya muda mfupi kutoka Serikali ya Singapore kupitia Programu ya Ushirikiano ya nchi hiyo (SCP) na Serikali ya Israel kupitia Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Israel (MASHAV).

Maelekezo ya kalenda ya kozi ambazo zimetolewa chini ya ufadhili wa Programu ya Ushirikiano ya Singapore inapatikana kupitia tovuti yao ya http://www.scp.gov.sg.

Taarifa ya kina kuhusu nafasi za masomo chini ya ufadhili wa MASHAV inapatikana kupitia tovuti ya 
http: // mashav.mfa.go.il/MFA/mashav/Courses/Pages/default.aspx.

Kupara sehemu ya kalenda ya kozi chini ya ufadhili wa Programu ya Ushirikiano ya Singapore kwa mwaka 2018 na 2019 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Enter your comment...habari kiongozi samahani kwa usumbufu ivi mbona hamjatoa majina ya walioomba maombi ya kwenda inchini,israel,despite mtu kakosa but taarifa muhimu kuwa walioteuliwa ni Hawa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...