Prof. Cuthbert Kimambo wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Tanzania, anasikitika kutangaza kifo cha Baba yake Mdogo Profesa Isaria Kimambo kilichotokea nyumbani kwake Makongo juu 2/11/2018. 

Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu Makongo Juu. Mazishi yanatarajiwa kufanyika kijijini kwa Marehemu Manambeni Mbokomu Moshi 8/11/2018. Habari ziwafikie Askofu wa Kanisa la kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT.Dr Frederick Shoo.

Wanajumuia wote wa Vyuo Vikuu alipo wahi kufanya Kazi ,Majairani wana Ukoo wote wa Kimambo popote walipo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...