Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas, akizungumza na kikosi Maalum cha kupambana na uhalifu katika viwanja vya Kikosi cha kutuliza Ghasia Mkoa wa Mtwara, baada ya kuwasili katika ziara yake ya kikazi akitokea mkoani Ruvuma. (Picha na Jeshi la Polisi) 
Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas, akishiriki mazoezi ya pamoja na kikosi maalum cha kupamba na na uhalifu Mkoa wa Mtwara baada ya kuwasili katika ziara yake  mkoani humo.
Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas aliesimama katikati, akimsikiliza Mkaguzi wa Polisi INSP, Idd Kimia wa kushoto kwake wakati akiangalia utayali wa kikosi cha kupambana na uhalifu Mkoa wa Mtwara  ambacho hakipo pichani. 
Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas katikati na kulia kwake ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara ACP Joseph M.Konyo wakiwa katika picha ya pamoja na kikosi maalum cha kupambana na Uhalifu mkoani humo. (Picha na Jeshi la Polisi).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...