Waziri Mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amewataka baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Iringa kufika ofisini kwake DODOMA tarehe 7 mwezi huu kumweleza sababu za kuzuia nguzo za umeme kusafirishwa. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa agizo hilo kwenye mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Nyoni Wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...