Spika wa Bunge Job Ndugai (Mb) akizungumza na Balozi wa Qatar nchini Abdullah Jassim Al-Maadadi Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Qatar nchini Abdullah Jassim Al-Maadadi akimueleza jambo Spika wa Bunge Job Ndugai (Mb) alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge Job Ndugai (Mb) katika picha ya pamoja na Balozi wa Qatar nchini Abdullah Jassim Al-Maadadi mara baad ya kuzungumza naye Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge Job Ndugai (Mb) katika picha ya pamoja na Balozi wa Qatar nchini Abdullah Jassim Al-Maadadi mara baad ya kuzungumza naye Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. PICHA NA BUNGE
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...