Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akiwa katika mazungumzo na Mbunge wa Jimbo la Kyerwa, Innocent Balikwate aliyemtembelea ofisini kwake leo Februari 12, 2019.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akifurahi jambo na Mbunge wa Jimbo la Kyerwa, Innocent Balikwate aliyemtembelea ofisini kwake leo Februari 12, 2019.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto)  akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya binafsi ya kusaidia sekta ya kilimo nchini (PASS), Nicomed Bohay, aliyemtembelea ofisini kwake leo Februari 12, 2019.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...