RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Kaimu
Kamanda wa Brigedi ya 101KV Zanzibar Kanali.S.S.Mugoba, alipowasili
katika viwanja vya Kambi ya Chukwani Zanzibar kujumuika na Askari wa
Vikosi vya Ulinzi na Usalama walioshiriki Gwaride la Maadhimisho ya
Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika Uwanja wa Gombani
Kisiwani Pemba mwaka huu 2019.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa amesimama wakati
ukipigwa wimbo wa Taifa baada ya kuwasili katika viwanja vya Kambi ya
JWTZ Chukwani Zanzibar, kujumuika na Askari wa Vikosi vya Ulinzi na
Usalama walioshiriki Gwaride la Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar,
kushoto Kaimu Kamanda wa Brigedi ya 101KV Zanzibar Kanali S.S.Mugoba,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Issa Haji Gavu na kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa
na Serikali za Mikoa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Haji Omar Kheri.(Picha
na
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa amesimama,
ukipigwa wimbo wa Taifa baada ya kuwasili katika Viwanja vya Kambi ya
Chukwani kujumuika na Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama kujumuika
katika chakula maalum aliowaandalia kushoto Kaimu Kamanda wa Brigedi ya
101KV Zanzibar, Kanali S.S.Mugoba na kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ. Mhe. Haji
Omar Kheri,(Picha na Ikulu)
ASKARI wa Vikosi vya Ulinzi na
Usalama walioshiriki Gwaride la Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 55 ya
Mapinduzi Zanzibar, wakijumuika katika hafla ya chakula maalum
walioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, hafla hiyo imefanyika katika Kambi ya
Chukwani Zanzibar..(Picha na Ikulu)
KAIMU Kamanda Brigedi ya 101 KV
Zanzibar Kanali S.S.Mugoba, akizungumza wakati wa hafla ya chakula
maalum kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe. Dk. Aki Mohamed Shein, kwa ajili ya Askari wa Vikosi vya
Ulinzi na Usalama walioshiriki gwaride la Maadhimisho ya Miaka 55 ya
Mapinduzi zilizofanyika mwaka huu kisiwani Pemba January,12, 2019.(Picha
na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akijumuika katika
chakula maalum aliowaandalia, Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama,
katika kambi ya chukwani walioshiriki Gwaride la Maadhimisho ya Miaka
55 ya Mapinduzi Zanzibar mwaka huu zilizofanyika Kisiwani Pemba katika
uwanja wa gombani.(Picha na Ikulu)
ASKARI wa Vikosi vya Ulinzi na
Usalama wakijumuika katika hafla ya chakula maalum kilichoandaliwa na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali
Mohamed Shein, katika viwanja vya Kambi ya Chukwani Zanzibar.(Picha na
Ikulu)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu akitowa shukrani
kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.
Dk. Ali Mohamed Shein, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Kambi ya
Chukwani Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu akitowa shukrani
kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.
Dk. Ali Mohamed Shein, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Kambi ya
Chukwani Zanzibar.(Picha na Ikulu)
ASKARI wa Vikosi vya Ulinzi na
Usalama wakifuatilia hutuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu akitowa shukrani
kwa niaba ya Rais wa Zanzibar, wakati wa hafla ya chakula maalum
kilichoandaliwa kwa ajili yao katika kambi ya Chukwani Zanzibar.(Picha
na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...