Sehemu ya Washabiki wa Timu ya Simba (Wekundu wa Msimbazi) wakiwa wamefurika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam tayari kwa kuishangilia timu yao inakipiga jioni hii na Timu ya Al Ahly ya Misri katika mchezo wa Kundi D wa Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika, ikiwa ni mechi ya marudiano baada ya mchezo wa awali ambao Simba ilipoteza kwa kufungwa bao 5-0.
 Washabiki wa Timu ya Simba wakiwa kwenye foleni ya kuingia Uwanjani kushangilia timu yao.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...