Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue nje ya ukumbi wa Nelson Mandela,kwenye mkutano wa Viongozi Wakuu wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia Februari 12, 2019, (katikati) kushoto ni Waziri wa Mambo na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga, (katikati) kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe. Naimi Aziz. 
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...