Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akizungumza na Balozi mpya mteule wa Tanzania nchini
Zambia Mhe. Balozi Hassan Simba Yahya (kushoto) ofisini kwake Ikulu,
jijini Dar es Salaam.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na
Balozi mpya mteule wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Balozi Hassan Simba
Yahya (kushoto) ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam.(Picha na
Ofisi ya Makamu wa Rais)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...