Mama Maria Nyerere akiwa na mgeni wake, mjane wa Waziri Mkuu wa zamani, Mama Mama Napono Sokoine aliyemtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam, jana. Wengine katika picha (kutoka kushoto) ni msaidizi wa Mama Maria, Wambura; Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu, Namelok Sokoine, Elysia Sokoine,Ninai Sokoine na Karris Sokoine. Mbuzi anayeonekana ni zawadi ya Mama Sokione aliyopelekewa Mama Maria. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...