Basi la Mwendo Kasi likielekea kituo cha Morocco kushusha na kupakia abiria kuendelea na mzunguko wake wa kawaida kati kati ya jiji la Dar,Usafiri huo pamoja na changamoto za hapa na pale  ambazo zimekuwa zikijitokeza kwa abiria, lakini ndio umekuwa usafiri mkombozi kwa wakazi wengi wa jiji hilo.Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...