Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishangilia bao la tatu la Taifa Stars katika mechi ya kufuzu kuingia katika michuano ya mataifa ya Afrika iliyochezwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, Machi 24, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishangilia baada ya mwamuzi kupuliza kipenga cha kumaliza mechi kati Taifa Stars na Timu ya Taifa ya Uganda kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, Machi 24, 2019. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda. Taifa Stars ilishinda 3-0. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezana na Rais wa TFF, Wallace Karia baada ya mwamuzi kupuliza kipenga cha kumaliza mechi kati Taifa Stars na Timu ya Taifa ya Uganda kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salam, Machi 24, 2019. Taifa Stars ilishinda 3-0. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...