Naibu Waziri wa Kilimo Innocent Bashungwa amewaelekeza wadau wote kwenyemnyororo wa pembejeo kuwa sasa niwakati wa kusimamiaipasavyo Sheria zote zinazohusutasnia na pembejeo kuanziaviutatilifu, mbegu pamoja na mbolea ilikumsaidia mkulimamnyongewa Tanzania.
 
Bashungwa ameyasema hayo leo tarehe 9/4/2019 wakati akifunguamkutano wa Wadau wa Pembejeo za kilimo ambapo Taasisi ya udhibitiwa Mbegu Bora (TOSCI) imeandaamkutano kwa kushirikiana na Mamlakaya Udhibiti wa Mbolea (TFRA) na Taasisiya Utafiti wa Viuatilifukatika Ukanda wa Kitropiki(TPRI) kwalengo la kufanyatathmini ya maboreshoya mambo kadhaa yenyelengo la kuboresha utendaji kazi wa Taasisi hizo kwapamoja.

Naibu Waziri Bashungwa amesema mkulimawa Tanzania amekuwa akikabiliwa na changamotonyingiwakatiwakuendeshakilimochakenakuongezakuwachangamotohizo
nipamojanaviuatilifu‘feki’, mbeguhafifuna

‘feki’pamojanambolea‘feki’sasazinapaswakuishakwakuwa Taasisizotezimepewamamlakayakumkamatanakumfunguliamashitakamuuzaji
yeyoteatakayekutwaakiuzaau kusambazapembejeo‘feki’nakuongezakuwaamekuwa akishangazwanakasindogoyautekelezajiwajambohilo.

“NduguzanguWataalamnimekuwanikisikianakuonaidadindogoya WasambazajinaWauzajiwapembejeofekiwanaokamatwanakuchukuliwahatuazakisheria, tofautinaidadikubwayamalalamikoyaWakulimawetu, sasaiwemwisho, WasambazajinaWauzajiwanafahamika, simamienisheria, wakamatwenawafikishenikwenyevyombovyasherianawanapopatikananahatia, wafungwekwamujibuwasheria.” Amekaririwa Waziri Bashungwa.

“Si sawa wasambazaji fekiwapembejeo kuendelea na mchezohuu, huuniwakati wa kuwadhibiti na kuwafunga, kwa sababusheria zipo na zinasema waziwazi, adhabu ya mtuanayefanyakosahilo” Amekaririwa Mhe. Bashungwa.

NaibuWaziri Bashungwa ameagiza kuwambalina mambo mbalimbali watakayojadiliana katika mkutanohuo msisitizo lazimauwekwe kwenyekutafunjia bora yakuongeza ufanisi na kuondoa changamoto kwenyeupatikanaji na utoajiwahuduma yausambazaji wapembejeo bora kwa wakulima na kamakunavikwazovyovyote mkutanohuo utatoamapendekezo kwa Wizara ninikifanyike.

Napendamjikitekatikakujadilianailikuibuavikwazovyoteambavyomnaonakama vitaboreshwabasivitasaidiausambazajiwapembejeozotekufika kwa mkulima katika haliyaubora ili Sektaya Kilimo iwenauzalishajimkubwa na wenyetija kwenyemazao ya kimkakati, mazao ya chakula na mazao yenyethamani kubwa.

“NaombamtuambiekamakunaSheria au Kanuni ambazo haziendi sambamba na mahitaji ya nyakati na zimekuwa kikwazo, ilihuduma ya kufikishia Mkulima Viuatilifu sahihi, mbegu bora mtuambienakutushauri, njiazipizitakuwasahihikatikakufikishamaarifamapyakwaWakulimakwalengo la kuongezatijanauzalishaji” AmekaririwaMhe. Bashungwa.

Mkutano huo wasikumbili unaowakutanisha Wadau mbalimbali pamoja na Taasisi kubwa tatu, ambazo zinahusik amojakwamoja udhibiti  wa pembejeo za kilimo kuanzaudhibiti wa viuatilifu (Dawa), mbegu n ambolea.

Taasisi hizo ni pamoja na Taasisi inayojishughulisha na masualaya udhibiti waMbegu Bora (TOSCI). Mamlaka ya udhibitiwa Mbolea (TFRA) pamojanaTaasisiyaUtafitina Udhibitiwa Viuatilifukatika Ukanda wa Kitropiki (TPRI).

Naibu Waziri wa Kilimo, Innocent Bashungwa akizungumza na Wadauwa Pembejeo kutoka Taasisi mbalimbali za Wizara ya Kilimo pamoja na Washiriki wengine kutoka Sekta Binafsi pamoja na Wasambaji na Wauzaji wa Pembejeo za Kilimo

Mwakilishiwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Nyasebwa Chimangu akitoa neno fupi la utangulizi kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmi Naibu Waziri Wizara ya Kilimo Innocent Bashungwa kwenye Mkutano wa Wadau wa Pembejeo uliofanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Polisi Jijini Dodoma .

Baadhi ya Washiriki wa Mkutano huo wakimsikiliza Mgeni Rasmi, Naibu Waziri Wizaraya Kilimo,  Innocent Bashungwa kwenye Mkutano wa Wadau wa Pembejeo uliofanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Polisi Jijini Dodoma .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...