Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika majani ikiwa ni hatua ya awali ya kutengeneza majani ya Chai, alipotembelea katika kiwanda cha chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever mara baada ya kukifungua kiwanda hicho.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua mitambo ya kutengeneza majani ya Chai, alipotembelea katika kiwanda cha chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever mara baada ya kukifungua kiwanda hicho.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia hatua za kutengeneza majani ya Chai katika mitambo, alipotembelea katika kiwanda cha chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever mara baada ya kukifungua kiwanda hicho.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever mara baada ya kukifungua kiwanda hicho.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi waliojitokeza katika kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever mara baada ya kukifungua kiwanda hicho.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Joseph Kakunda mara baada ya kuwasili katika kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever .
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Ole Sendeka  mara baada ya kuwasili katika kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever .Ambapo Rais yupo mkoani Njombe kwa Ziara ya Siku tatu.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Makinda   mara baada ya kuwasili katika kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever .Ambapo Rais yupo mkoani Njombe kwa Ziara ya Siku tatu.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizindua rasmi kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na  Mwekezaji wa kiwanda cha chai cha Kabambe Sir Ian Wood kutoka Wood Foundation mara baada ya kufua rasmi kiwanda cha majani ya chai cha Kabambe kilichopo Lwangu Mjini Mjombe kinachomilikiwa na kampuni ya Unilever

PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...