Wakazi wa Kijiji cha Nakapanya na Namakambale wilayani Tunduru mkoani Ruvuma hivi karibuni wakimsikiliza kaimu mkuu wa mkoa huo Godfrey Zambi wakati wa uzinduzi wa soko la Nakapanya akiwaomba wakazi hao kuacha malumbano yasiyokuwa na msingi na badala yake kulitunza soko hilo kwa kufanya usafi ili kuvutia wateja na kulinda afya.
 Wakazi wa Kijiji cha Nakapanya na Namakambale wilayani Tunduru mkoani Ruvuma hivi karibuni wakimsikiliza kaimu mkuu wa mkoa huo Godfrey Zambi wakati wa uzinduzi wa soko la Nakapanya 


Kaimu mkuu wa mkoa huo Godfrey Zambi kati kati hivi karibuni akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Nakapanya na Namakambale wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wakati wa uzinduzi wa soko la Nakapanya ambapo amewaomba kuacha malumbano yasiyokuwa na msingi na badala yake kulitunza soko hilo kwa kufanya usafi ili kuvutia wateja na kulinda afya kulia ni mkuu wa wilaya hiyo Juma Homera, (kushoto) na Katibu Tawala mkoani humo Profesa Rizik Shemdoe. 
Picha na Fatna Mwinyimkuu wa Globu ya Jamii, Ruvuma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...