Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt Respicious Boniface akizungumza na wahitimu 100 wa mafunzo ya kutoa dawa za usingizi ( Anaesthesia) kutoka katika Hospitali za Mikoa mbalimbali ambao walikua wakipata mafunzo Taasisi ya Mifupa MOI pamoja Hospitali ya Muhimbili.
Muwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dkt Mtemi Buriani (kushoto) akimkabidhi mhitimu cheti cha kuhitimu mafunzo maalum ya kutoa dawa za usingizi yaliyohitimishwa leo.
Mkurugenzi wa Tiba wa MOI Dkt Samuel Swai akimkabidhi mhitimu cheti cha kuhitimu mafunzo maalum ya kutoa dawa za usingizi yaliyohitimishwa leo.
Ibrahim Mwita ambaye ni kiongozi wa wahitimu akitoa neno la shukrani kwa Serikali, Taasisi ya MOI pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuwawezesha kupata mafunzo maalum ya kutoa dawa za usingizi.
Wahitimu wa mafunzo maalum ya kutoa dawa za usingizi wakiwa katika picha ya pamoja na walimu wao pamoja na viongozi wa juu wa Taasisi ya Mifupa MOI na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. 
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...