Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi
wa Mikutano wa Bwalo la JKT Umwema, mjini Morogoro, leo. Waziri Lugola
amewatuliza madereva wa vyombo vya moto waliotaka kugoma kutokana na kutopewa
mikataba ya kazi, matumizi mabaya ya tochi pamoja na ulipaji wa faini na
kusimamishwa hovyo na matrafiki mabarabarani. Lugola mewataka wamiliki wa
vyombo vya moto nchini kutoa mikataba ya kazi kwa madereva na wafanyakazi
mbalimbali katika makampuni yao. Katikati ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa
Morogoro, Wilbrod Mutafungwa. Picha na
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (wapili kushoto), akifurahi jambo wakati alipokua
anamsikiliza Mwenyekiti wa Chama cha Wasafirishaji Nchini, Chuki Shaban
alipokuwa akizungumza katika kikao cha Wadau wa usafirishaji kilichofanyika
Ukumbi wa Mikutano wa Bwalo la JKT Umwema, mjini Morogoro, jana. Waziri Lugola
amewatuliza madereva wa vyombo vya moto waliotaka kugoma kutokana na kutopewa
mikataba ya kazi, matumizi mabaya ya tochi pamoja na ulipaji wa faini na
kusimamishwa hovyo na matrafiki mabarabarani. Kushoto ni Naibu Waziri wa kazi,
Vijana na Ajira, Antony Mavunde.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...