Spika wa Bunge Job Ndugai (Mb), akimsikiliza Balozi wa China Nchini Tanzania Wang Ke wakati wa makabidhiano ya msaada wa kompyuta (Laptops)70 kutoka Bunge la China. Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ukumbi wa Spika Bungeni Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge Job Ndugai (Mb), akipokea msaada wa kompyuta (Laptops) 70 kutoka kwa Balozi wa China Nchini Tanzania,  Wang Ke, makabidhiano yalifanyika katika Ukumbi wa Spika Bungeni Mjini Dodoma na kushuhudiwa na Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson. Msaada huo wa Kompyuta 70 (laptops) umetolewa na Bunge la China  kwa Wabunge wa Bunge la Tanzania. 

Spika wa Bunge Job Ndugai (Mb) na Balozi wa China Nchini Tanzania, Wang Ke, wakisaini mkataba wa makabidhiano ya msaada wa kompyuta (Laptops) 70 makabidhiano yalifanyika katika Ukumbi wa Spika Bungeni Mjini Dodoma na kushuhudiwa na Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson na Wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge. Msaada huo wa Kompyuta 70 (laptops) umetolewa na Bunge la China  kwa Wabunge wa Bunge la Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...