Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akisalimiana na kamishna wa Operesheni na Mafunzo CP Liberatus Sabas, wakati alipowasili katika viwanja vya Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuzungumza na Maofisa na Wakaguzi wa Jeshi hilo. 
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akimsikiliza Mkuu wa Utawala wa Jeshi la Polisi DCP Lucas Mkondya (aliyesimama) wakati akitoa hotuba mbele ya maofisa na wakaguzi (hawapo Pichani) kwenye kikao cha kuwajengea uwezo wa kiutendaji na kuwakumbusha wajibu wao. 
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na makamishna wa jeshi hilo baada ya kumaliza mkutano uliowahusisha maofisa na wakaguzi kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kiutendaji, kutoka kulia kwake ni Kamishna wa kamisheni ya Ushirikishwaji wa Jamii CP Mussa A. Mussa na kushoto kwake ni Kamishna wa Operesheni na Mafunzo CP Liberatus Sabas. (Picha na Jeshi la Polisi).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...