Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Amina Makilagi, Bungeni jijini Dodoma Juni 19, 2019. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Chato na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, Bungeni jijini Dodoma Juni 19, 2019.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Rukia Kassim Ahmed, Bungeni jijini Dodoma, Juni 19, 2019. 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Namtumbo Mhandisi Edwin Ngonyani kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 19, 2019.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa zamani wa Namtumbo, Vita Kawawa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni19, 2019. Katikati ni Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kulia) akijadili jambo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto) na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Dkt. Faustine Ndugulile (katikati), Bungeni jijini Dodoma Juni 19, 2019. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...