Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akizungumza na waheshimiwa wabunge, watumishi wa Ofisi ya Bunge na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa kitabu cha "Viwanda: Moving Tanzania Forward" katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
 Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kulia) akizindua kitabu cha "Viwanda: Moving Tanzania Forward" mbele ya waheshimiwa wabunge, watumishi wa Ofisi ya Bunge na wageni waalikwa (wote hawapo kwenye picha) katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni mwandishi wa kitabu hicho, Prof. Teddy Maliyamkono.
Naibu Spika wa Bunge,Dkt. Tulia Ackson (kulia) akimpongeza mwandishi wa kitabu cha "Viwanda: Moving Tanzania Forward", Pro. Teddy Maliyamkono mbele ya waheshimiwa wabunge, watumishi wa Ofisi ya Bunge na wageni waalikwa (hawapo kwenye picha) katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...