Karani udahili kutoka Chuo cha Ustawi wa Jamii, Veronica Kazimoto(kulia) akimfanyia mmoja wa wanafunzi waliofika katika Banda la chuo hicho kudahiliwa katika maonesho hayo.
Mhadhiri msaidizi wa Idara ya ustawi wa jamii Peter Mgave akitoa maelekezo ya kozi mbalimbali kwenye Banda la chuo hicho katika maonesho ya vyuo vikuu Mnazi mmoja jijini Dar es salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...